Daniel 9:19
Ee Bwana, sikiliza! Ee Bwana, samehe! Ee Bwana, sikia na ukatende! Kwa ajili yako, Ee Mungu wangu, usikawie, kwa sababu mji wako na watu wako wanaitwa kwa Jina lako.” 1 Majuma Sabini
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 14:19Kwa kadiri ya upendo wako mkuu, usamehe dhambi ya watu hawa, kama vile ulivyowasamehe tangu wakati walitoka Misri mpaka sasa.”
2 Chronicles 6:21Usikie maombi ya mtumishi wako na ya watu wako Israeli wakati wanapoomba kuelekea mahali hapa. Sikia kutoka mbinguni, mahali pa makao yako na usikiapo, samehe.
2 Chronicles 6:39basi kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, usikie dua yao na maombi yao na kuitetea haki yao. Uwasamehe watu wako, waliotenda dhambi dhidi yako.
Psalms 74:9Hatukupewa ishara za miujiza; 2 hakuna manabii waliobaki, 1 hakuna yeyote kati yetu ajuaye 2 hali hii itachukua muda gani. 1
Psalms 79:8Usituhesabie dhambi za baba zetu, 2 huruma yako na itujie hima, 2 kwa maana tu wahitaji mno. 1
Psalms 85:5Je, utatukasirikia milele? 2 Utaendeleza hasira yako kwa vizazi vyote? 1