Daniel 9:18
Ee Mungu, tega sikio na ukasikie; fumbua macho yako ukaone ukiwa wa mji ule wenye Jina lako. Hatukutolei maombi yetu kwa sababu sisi tuna haki, bali kwa sababu ya rehema zako nyingi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 6:27“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
2 Kings 19:16Tega sikio, Ee Bwana, usikie; fungua macho yako, Ee Bwana, uone; sikiliza maneno ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai.
Psalms 25:6Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo, 2 kwa maana zimekuwepo tangu zamani. 1
Isaiah 37:17Tega sikio, Ee Bwana, usikie; fungua macho yako, Ee Bwana, uone; sikiliza maneno yote ambayo Senakeribu ametuma kumtukana Mungu aliye hai.
Isaiah 63:15Tazama chini kutoka mbinguni ukaone 2 kutoka kiti chako cha enzi 2 kilichoinuliwa juu, kitakatifu na kitukufu. 1 Uko wapi wivu wako na uweza wako? 2 Umetuzuilia wema wako na huruma zako. 1
Isaiah 64:6Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi, 2 nayo matendo yetu yote ya uadilifu ni kama matambaa machafu; 1 sisi sote tunasinyaa kama jani, 2 na kama upepo maovu yetu hutupeperusha. 1