Kumbukumbu 1:11
Naye Bwana, Mungu wa baba zenu na awaongeze mara elfu na kuwabariki kama alivyoahidi!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Bwana Mungu wenu ameongeza hesabu yenu, hivi kwamba leo ninyi ni wengi kama nyota za angani.
12Lakini mimi nitawezaje kubeba matatizo yenu, na mizigo yenu, na magomvi yenu peke yangu?
Cross References
Genesis 22:17hakika nitakubariki, na nitauzidisha uzao wako kama nyota za angani na kama mchanga ulioko pwani. Wazao wako watamiliki miji ya adui zao,
Genesis 49:25kwa sababu ya Mungu wa baba yako, anayekusaidia, 2 kwa sababu ya Mwenyezi, + 49:25 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. yeye anayekubariki 1 kwa baraka za mbinguni juu, 2 baraka za kilindi kilichoko chini, 2 baraka za matitini na za tumbo la uzazi. 1
Numbers 6:27“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”
Deuteronomy 10:22Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa Bwana Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.
2 Samuel 24:3Lakini Yoabu akamjibu mfalme, “ Bwana Mungu wako na azidishe jeshi mara mia, nayo macho ya bwana wangu mfalme na yaone hili. Lakini kwa nini bwana wangu mfalme anataka kufanya kitu cha namna hii?”
Psalms 115:14Bwana na awawezeshe kuongezeka, 2 ninyi na watoto wenu. 1