The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 49 › Genesis 49:25

Genesis 49:25

kwa sababu ya Mungu wa baba yako, anayekusaidia, 2 kwa sababu ya Mwenyezi, + 49:25 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. yeye anayekubariki 1 kwa baraka za mbinguni juu, 2 baraka za kilindi kilichoko chini, 2 baraka za matitini na za tumbo la uzazi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Even by the God of thy father, who shall help thee; and by the Almighty, who shall bless thee with blessings of heaven above, blessings of the deep that lieth under, blessings of the breasts, and of the womb:

In Context

24Lakini upinde wake ulibaki imara, 2 mikono yake ikatiwa nguvu, 1 na mkono wa Mwenye Nguvu wa Yakobo, 2 kwa sababu ya Mchungaji, Mwamba wa Israeli, 1

26Baraka za baba yako ni kubwa 2 kuliko baraka za milima ya kale, 2 nyingi kuliko vilima vya kale. 1 Baraka hizo zote na zikae juu ya kichwa cha Yosefu, 2 juu ya paji la yule mkuu miongoni mwa ndugu zake. 1

Read all of Genesis 49

Cross References

Genesis 17:1Abramu alipokuwa na miaka tisini na tisa, Bwana akamtokea akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi; + 17:1 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). enenda mbele zangu na uishi kwa unyofu.

Genesis 28:13Juu yake alisimama Bwana, akasema, “Mimi ni Bwana, Mungu wa baba yako Abrahamu na Mungu wa Isaki. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako.

Genesis 35:3Kisha njooni, twende Betheli, mahali nitakapomjengea Mungu madhabahu, aliyenijibu katika siku ya shida yangu, ambaye amekuwa pamoja nami popote nilipokwenda.”

Genesis 43:23Akawaambia, “Vema, msiogope. Mungu wenu, Mungu wa baba yenu, amewapa ninyi hazina katika magunia yenu; mimi nilipokea fedha yenu.” Ndipo akawaletea Simeoni.

Deuteronomy 28:2Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako:

Deuteronomy 33:13Kuhusu Yosefu akasema: 1 “ Bwana na aibariki nchi yake 2 kwa umande wa thamani 2 kutoka mbinguni juu, 1 na vilindi vya maji 2 vilivyotulia chini; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 49:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 49:24Genesis 49Genesis 49:26 →