Kumbukumbu 1:16
Nami wakati ule nikawaagiza waamuzi wenu: Sikilizeni magomvi kati ya ndugu zenu na mwamue kwa haki, hata kama shauri ni kati ya ndugu wa Kiisraeli, au kati ya mmoja wa ndugu wa Kiisraeli na mgeni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 23:2“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu,
Leviticus 19:15“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.
Numbers 27:19Msimamishe mbele ya kuhani Eleazari pamoja na kusanyiko lote, umpe maagizo mbele yao.
Deuteronomy 16:18Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao Bwana Mungu wenu anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa.
Deuteronomy 27:11Siku ile ile Mose akawaagiza watu:
2 Samuel 23:3Mungu wa Israeli alinena, 2 mwamba wa Israeli akaniambia: 1 ‘Mtu anatawala watu kwa haki, 2 wakati anapotawala 2 akiwa na hofu ya Mungu, 1