The Bible Software
bible.softwareDeuteronomyDeuteronomy 10 › Deuteronomy 10:21

Deuteronomy 10:21

Yeye ni sifa yako; yeye ni Mungu wako, ambaye alikutendea yale maajabu makubwa na ya kutisha uliyoyaona kwa macho yako mwenyewe.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He is thy praise, and he is thy God, that hath done for thee these great and terrible things, which thine eyes have seen.

In Context

20Mche Bwana Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.

22Baba zako walioshuka kwenda Misri jumla yao walikuwa sabini, na sasa Bwana Mungu wako amekufanya wengi kama nyota za angani.

Read all of Deuteronomy 10

Cross References

Exodus 34:10Kisha Bwana akasema: “Tazama ninafanya Agano mbele ya watu wako wote. Mbele ya watu wako wote nitafanya maajabu ambayo hayajafanyika katika taifa lolote katika ulimwengu wote. Watu wale mnaoishi miongoni mwao wataona jinsi ilivyo ya kushangaza ile kazi nitakayowafanyia mimi Bwana wenu.

Deuteronomy 4:34Je, kuna mungu yeyote amepata kujaribu mwenyewe kuchukua taifa moja kutoka taifa lingine, kwa mapigo, kwa ishara za miujiza na maajabu, kwa vita, kwa mkono wenye nguvu na mkono ulionyooshwa au kwa matendo makuu ya kutisha, kama yale ambayo Bwana Mungu wenu aliyofanya kwa ajili yenu huko Misri mbele ya macho yenu?

1 Samuel 12:24Lakini hakikisheni mnamcha Bwana na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote; tafakarini mambo makubwa aliyoyatenda kwa ajili yenu.

Psalms 22:3Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu; 2 wewe ni sifa ya Israeli. + 22:3 Tafsiri zingine zinasema: uketiye juu ya sifa za Israeli. 1

Psalms 109:1Ee Mungu, ambaye ninakusifu, 2 usiwe kimya, 1

Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Deuteronomy 10:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Deuteronomy 10:20Deuteronomy 10Deuteronomy 10:22 →