Deuteronomy 11:21
ili kwamba siku zenu na siku za watoto wenu zipate kuwa nyingi katika nchi ile Bwana aliyoapa kuwapa baba zenu, kama zilivyo nyingi siku za mbingu juu ya nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Yaandikeni juu ya miimo ya nyumba zenu na juu ya malango yenu,
Cross References
Deuteronomy 4:40Mshike amri na maagizo yake ninayowapa leo, ili mpate kufanikiwa ninyi na watoto wenu baada yenu, na mpate kuishi maisha marefu katika nchi awapayo Bwana Mungu wenu siku zote. 1 Miji Ya Makimbilio
Deuteronomy 6:2ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche Bwana Mungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu.
Psalms 72:5Atadumu kama jua lidumuvyo, kama mwezi, vizazi vyote. 1
Psalms 89:30“Kama wanae wataacha amri yangu 2 na wasifuate sheria zangu, 1
Proverbs 3:16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; 2 katika mkono wake wa kushoto 2 kuna utajiri na heshima. 1
Proverbs 9:11Kwa maana kwa msaada wangu 2 siku zako zitakuwa nyingi, 2 na miaka itaongezwa katika maisha yako. 1