Proverbs 9:11
Kwa maana kwa msaada wangu 2 siku zako zitakuwa nyingi, 2 na miaka itaongezwa katika maisha yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For by me thy days shall be multiplied, and the years of thy life shall be increased.
In Context
10“Kumcha Bwana ndicho chanzo cha hekima, 2 na kumjua Aliye Mtakatifu ni ufahamu. 1
Cross References
Deuteronomy 30:19Leo ninaziita mbingu na nchi kama mashahidi dhidi yako kwamba nimeweka mbele yako uzima na mauti, baraka na laana. Basi sasa chagueni uzima, ili wewe na watoto wako mpate kuishi,
Proverbs 3:16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; 2 katika mkono wake wa kushoto 2 kuna utajiri na heshima. 1