Proverbs 3:16
Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; 2 katika mkono wake wa kushoto 2 kuna utajiri na heshima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Length of days is in her right hand; and in her left hand riches and honour.
In Context
17Njia zake zinapendeza, 2 mapito yake yote ni amani. 1
Cross References
1 Kings 3:13Zaidi ya hayo, nitakupa yale ambayo hukuomba, yaani utajiri na heshima, ili kwamba maisha yako yote hapatakuwa na mtu kama wewe miongoni mwa wafalme.
Psalms 21:4Alikuomba maisha, nawe ukampa, 2 wingi wa siku milele na milele. 1
Proverbs 3:2kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako 2 na kukuletea mafanikio. 1
Proverbs 4:8Mstahi, naye atakukweza; 2 mkumbatie, naye atakuheshimu. 1
Proverbs 22:4Unyenyekevu na kumcha Bwana 2 huleta utajiri, heshima na uzima. 1
1 Corinthians 3:21Hivyo basi, mtu asijivune kuhusu wanadamu! Vitu vyote ni vyenu,