Deuteronomy 13:11
Kisha Israeli wote watasikia na kuogopa, wala hakuna mmoja miongoni mwenu atakayefanya uovu tena.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all Israel shall hear, and fear, and shall do no more any such wickedness as this is among you.
In Context
12Kama mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo Bwana Mungu wenu anawapa mkae ndani yake
Cross References
Exodus 13:3Ndipo Mose akawaambia watu, “Ikumbukeni siku hii, siku ambayo mlitoka katika nchi ya Misri, katika nchi ya utumwa, kwa sababu Bwana aliwatoa humo kwa mkono wenye nguvu. Msile chochote kilichotiwa chachu.
Numbers 25:4Bwana akamwambia Mose, “Uwachukue viongozi wote wa watu hawa, uwaue na uwaweke hadharani mchana peupe mbele za Bwana, ili hasira kali ya Bwana iweze kuondoka kwa Israeli.”
Deuteronomy 19:20Watu watakaosalia watasikia hili na kuogopa, uovu kama huo kamwe hautatendeka tena miongoni mwenu.
Proverbs 19:25Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, 2 mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa. 1
1 Timothy 5:20Wale wanaodumu katika dhambi uwakemee hadharani, ili wengine wapate kuogopa.