Proverbs 19:25
Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara, 2 mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake 2 ni mwana aletaye aibu na fedheha. 1
Cross References
Deuteronomy 21:21Kisha wanaume wote wa mjini mwake watampiga kwa mawe mpaka afe. Ndivyo imewapasa kuondoa maovu kati yenu. Israeli yote itasikia hili na kuogopa. 1 Sheria Mbalimbali
Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1
Proverbs 17:10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua 2 kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. 1
Revelation 3:19“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.