Kumbukumbu 14:8
Nguruwe pia ni najisi; ingawa ana kwato zilizogawanyika, hacheui. Msile nyama yake wala kugusa mzoga wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Katika viumbe hai vyote viishivyo kwenye maji, mnaweza kula yeyote aliye na mapezi na magamba.
Cross References
Isaiah 65:4watu waketio katikati ya makaburi 2 na kukesha mahali pa siri, 1 walao nyama za nguruwe, 2 nazo sufuria zao zina mchuzi wa nyama zilizo najisi, 1
Isaiah 66:17“Watu wote wanaojiweka wakfu na kujitakasa wenyewe ili kwenda bustanini, wakimfuata aliye katikati ya wale ambao hula nyama za nguruwe na panya pamoja na vitu vingine vilivyo machukizo, watafikia mwisho wao pamoja,” asema Bwana.
2 Peter 2:22Imetukia kwao sawasawa na ile mithali ya kweli isemayo: “Mbwa huyarudia matapiko yake mwenyewe,” tena, “Nguruwe aliyeoshwa hurudi kugaagaa matopeni.”