Kumbukumbu 2:23
Nao Waavi ambao waliishi katika vijiji mpaka Gaza, Wakaftori waliokuja kutoka Kaftori waliwaangamiza na kukaa mahali pao.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:14Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti), na Wakaftori. 1
Joshua 10:41Yoshua akawashinda kuanzia Kadesh-Barnea hadi Gaza na kutoka eneo lote la Gosheni hadi Gibeoni.
Joshua 13:3kutoka Mto Shihori ulioko mashariki mwa Misri, kuelekea kaskazini kwenye eneo la Ekroni, ambayo yote ilihesabika kama ya Wakanaani (maeneo yale matano ya watawala wa Kifilisti, ambayo ni Gaza, Ashdodi, Ashkeloni, Gathi na Ekroni: ndiyo nchi ya Waavi);
Judges 1:18Watu wa Yuda wakatwaa pia Gaza, Ashkeloni na Ekroni, kila mji na vijiji vyake vinavyouzunguka.
2 Kings 18:8Kuanzia mnara wa ulinzi hadi kwenye mji wenye ngome, aliwashinda Wafilisti, hadi kufikia Gaza na himaya yake yote.
Jeremiah 47:4Kwa maana siku imewadia 2 kuwaangamiza Wafilisti wote 1 na kuwakatilia mbali walionusurika wote 2 ambao wangeweza kusaidia Tiro na Sidoni. 1 Bwana anakaribia kuwaangamiza Wafilisti, 2 mabaki toka pwani za Kaftori. + 47:4 Kaftori ndio Krete. 1