Yeremia 47:4
Kwa maana siku imewadia 2 kuwaangamiza Wafilisti wote 1 na kuwakatilia mbali walionusurika wote 2 ambao wangeweza kusaidia Tiro na Sidoni. 1 Bwana anakaribia kuwaangamiza Wafilisti, 2 mabaki toka pwani za Kaftori. + 47:4 Kaftori ndio Krete. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 10:13Misraimu alikuwa baba wa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
Deuteronomy 2:23Nao Waavi ambao waliishi katika vijiji mpaka Gaza, Wakaftori waliokuja kutoka Kaftori waliwaangamiza na kukaa mahali pao.)
1 Chronicles 1:12Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. 1
Psalms 37:13bali Bwana huwacheka waovu, 2 kwa sababu anajua siku yao inakuja. 1
Isaiah 20:6Katika siku ile watu wanaoishi katika pwani hii watasema, ‘Tazama lililowapata wale tuliowategemea, wale tuliowakimbilia kwa msaada na wokovu kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru! Tutawezaje basi kupona?’ ”
Isaiah 31:8“Ashuru itaanguka kwa upanga ambao si wa mwanadamu; 2 upanga usio wa kibinadamu utawaangamiza. 1 Watakimbia mbele ya upanga 2 na vijana wao wa kiume watafanyizwa kazi kwa lazima. 1