Genesis 10:14
Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti), na Wakaftori. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Pathrusim, and Casluhim, (out of whom came Philistim,) and Caphtorim.
In Context
13Misraimu alikuwa baba wa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
15Kanaani alikuwa baba wa: 2 Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,
Cross References
Deuteronomy 2:23Nao Waavi ambao waliishi katika vijiji mpaka Gaza, Wakaftori waliokuja kutoka Kaftori waliwaangamiza na kukaa mahali pao.)
Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1
Jeremiah 47:4Kwa maana siku imewadia 2 kuwaangamiza Wafilisti wote 1 na kuwakatilia mbali walionusurika wote 2 ambao wangeweza kusaidia Tiro na Sidoni. 1 Bwana anakaribia kuwaangamiza Wafilisti, 2 mabaki toka pwani za Kaftori. + 47:4 Kaftori ndio Krete. 1