bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 2 › Kumbukumbu 2:6
Kumbukumbu 2:6
Mtawalipa fedha kwa chakula mtakachokula na maji mtakayokunywa.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye shall buy meat of them for money, that ye may eat; and ye shall also buy water of them for money, that ye may drink.
In Context
5Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
7Bwana Mungu wenu amewabariki kwa kazi yote ya mikono yenu. Amewalinda katika safari yenu katikati ya jangwa hili kubwa. Kwa miaka hii arobaini Bwana Mungu wenu amekuwa pamoja nanyi, na hamkupungukiwa na kitu chochote.
Read all of Kumbukumbu 2
Cross References
Deuteronomy 2:28Tuuzie chakula tule na maji tunywe kwa thamani yake katika fedha. Turuhusu tu tupite kwa miguu,
Romans 12:17Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote.
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 2:6