The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 2 › Kumbukumbu 2:5

Kumbukumbu 2:5

Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Meddle not with them; for I will not give you of their land, no, not so much as a footbreadth; because I have given mount Seir unto Esau for a possession.

In Context

4Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya ndugu zako ambao ni wazao wa Esau, ambao wanaishi Seiri. Watawaogopa, lakini mwe waangalifu.

6Mtawalipa fedha kwa chakula mtakachokula na maji mtakayokunywa.’ ”

Read all of Kumbukumbu 2

Cross References

Genesis 36:8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri.

Deuteronomy 32:8Aliye Juu Sana alipowapa mataifa urithi wao, 2 alipogawanya wanadamu wote, 1 aliweka mipaka kwa ajili ya mataifa 2 sawasawa na hesabu ya wana wa Israeli. 1

2 Chronicles 20:10“Lakini sasa hawa watu wa kutoka Amoni, Moabu na Mlima Seiri, ambao hukuwaruhusu Israeli wazivamie nchi zao wakati walitoka Misri, hivyo wakageukia mbali nao na hawakuwaangamiza,

Ezekiel 35:2“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya mlima Seiri, utabiri dhidi yake

Daniel 4:32Utafukuzwa mbali na wanadamu, ukaishi pamoja na wanyama pori, na utakula manyasi kama ngʼombe. Nyakati saba zitapita juu yako, mpaka utakapokubali kuwa Yeye Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme za wanadamu, naye humtawaza yeyote amtakaye.”

Acts 17:26Kutoka kwa mtu mmoja, yeye aliumba mataifa yote ya wanadamu ili waikalie dunia yote, naye akaweka nyakati za kuishi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 2:4Kumbukumbu 2Kumbukumbu 2:6 →