Kumbukumbu 20:17
Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama Bwana Mungu wenu alivyowaamuru.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 15:21Waamori, Wakanaani, Wagirgashi na Wayebusi.”
Deuteronomy 7:1Bwana Mungu wako akuletapo katika nchi unayoingia kuimiliki, na awafukuzapo mbele yako mataifa mengi, yaani Wahiti, Wagirgashi, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, mataifa saba makubwa tena yenye nguvu kuliko wewe,
Isaiah 34:5Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1
Jeremiah 50:35“Upanga dhidi ya Wakaldayo!” 2 asema Bwana, 1 “dhidi ya wale waishio Babeli 2 na dhidi ya maafisa wake na watu wenye busara! 1
Revelation 19:18ili mpate kula nyama ya wafalme na ya majemadari, ya mashujaa, ya farasi na ya wapanda farasi, nyama ya wanadamu, wote walio huru na watumwa, wadogo na wakubwa.”