Isaiah 34:5
Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Deuteronomy 32:14kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ngʼombe 2 na kutoka makundi ya mbuzi, 2 kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, 1 kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, 2 na kwa ngano nzuri. 1 Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu. 1
Psalms 17:13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, 2 niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako. 1
Isaiah 21:11Neno kuhusu Duma: 1 Mtu fulani ananiita kutoka Seiri, 2 “Mlinzi, usiku utaisha lini? 2 Mlinzi, usiku utaisha lini?” 1
Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1
Jeremiah 47:6“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Bwana, 2 utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? 1 Rudi ndani ya ala yako; 2 acha na utulie.’ 1