Genesis 15:21
Waamori, Wakanaani, Wagirgashi na Wayebusi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the Amorites, and the Canaanites, and the Girgashites, and the Jebusites.
In Context
Cross References
Genesis 10:15Kanaani alikuwa baba wa: 2 Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,
Exodus 3:17Nami nimeahidi kuwapandisha kutoka mateso yenu katika nchi ya Misri, niwapeleke nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, nchi itiririkayo maziwa na asali.’
Exodus 33:2Nitamtuma malaika mbele yenu, naye atawafukuza Wakanaani, Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Numbers 13:29Waamaleki wanaishi Negebu; Wahiti, Wayebusi na Waamori wanaishi katika nchi ya vilima; nao Wakanaani wanaishi karibu na bahari na kando ya Yordani.”
Numbers 21:32Baada ya Mose kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko.
Deuteronomy 20:17Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama Bwana Mungu wenu alivyowaamuru.