The Bible Software
bible.softwareDeuteronomyDeuteronomy 21 › Deuteronomy 21:17

Deuteronomy 21:17

Ni lazima amkubali mwana wa mke asiyempenda kama mzaliwa wa kwanza kwa kumpa sehemu ya vile vyote alivyo navyo maradufu. Mwana huyo ni ishara ya kwanza ya nguvu za baba yake. Haki ya mzaliwa wa kwanza ni yake yeye. 1 Mwana Mwasi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But he shall acknowledge the son of the hated for the firstborn, by giving him a double portion of all that he hath: for he is the beginning of his strength; the right of the firstborn is his.

In Context

16wakati anapotoa wosia wa mali yake kwa wanawe, kamwe asitoe haki za mzaliwa wa kwanza kwa mwana wa mke ampendaye kwa upendeleo, badala ya mzaliwa hasa wa kwanza, ambaye ni mwana wa mke ambaye hampendi.

18Kama mtu ana mwana mkaidi na mwasi ambaye hamtii baba yake na mama yake, na hasikii wazazi wanapomrudi,

Read all of Deuteronomy 21

Cross References

Genesis 25:5Abrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho.

Genesis 49:3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, 2 nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, 2 umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 1

1 Chronicles 5:2Na ingawa Yuda alikuwa na nguvu zaidi ya ndugu zake wote, na mtawala alitoka kwake, haki za mzaliwa wa kwanza zilikuwa za Yosefu.)

Psalms 105:36Kisha akawaua wazaliwa wote wa kwanza katika nchi yao, 2 matunda ya kwanza ya ujana wao wote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Deuteronomy 21:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Deuteronomy 21:16Deuteronomy 21Deuteronomy 21:18 →