Kumbukumbu 23:20
Unaweza kumtoza mgeni riba, lakini siyo nduguyo Mwisraeli, ili kwamba Bwana Mungu wako akubariki katika kila kitu unachoweka mkono katika nchi unayoingia kuimiliki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 22:24Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.
Deuteronomy 14:21Msile kitu chochote mtakachokuta kimekufa. Mnaweza kumpa mgeni yeyote anayeishi katika mojawapo ya miji yenu, naye anaweza kula au mnaweza kumuuzia mtu wa nchi nyingine. Lakini ninyi ni watu watakatifu kwa Bwana Mungu wenu. Msitokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake. 1 Zaka
Deuteronomy 15:10Mpe kwa ukarimu na ufanye hivyo bila kinyongo moyoni, ndipo kwa sababu ya hili Bwana Mungu wenu atakubariki katika kazi zako zote na kwa kila kitu utakachokiwekea mkono wako.
Psalms 15:5Yeye akopeshaye fedha yake bila riba, 2 na hapokei rushwa dhidi ya mtu asiye na hatia. 1 Mtu afanyaye haya 2 kamwe hatatikisika.
Isaiah 1:19Kama mkikubali na kutii, 2 mtakula mema ya nchi, 1
Luke 14:14nawe utabarikiwa kwa sababu hawa hawana uwezo wa kukulipa. Mungu atakulipa wakati wa ufufuo wa wenye haki.” 1 Mfano Wa Karamu Kuu (Mathayo 22:1-10)