Kumbukumbu 24:19
Unapovuna shamba lako na ukasahau mganda, usirudi kuuchukua. Acha kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane, ili Bwana Mungu wako aweze kukubariki wewe katika kazi zote za mikono yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 23:22“ ‘Mnapovuna mavuno ya ardhi yenu, msivune hadi mpakani mwa shamba lenu, au kukusanya masazo ya mavuno yenu. Hayo utayaacha kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.’ ” 1 Sikukuu Ya Tarumbeta (Hesabu 29:1-6)
Deuteronomy 15:10Mpe kwa ukarimu na ufanye hivyo bila kinyongo moyoni, ndipo kwa sababu ya hili Bwana Mungu wenu atakubariki katika kazi zako zote na kwa kila kitu utakachokiwekea mkono wako.
Deuteronomy 26:13Kisha umwambie Bwana Mungu wako: “Nimeondoa katika nyumba yangu ile sehemu iliyowekwa wakfu na nimempa Mlawi, mgeni, yatima na mjane, kulingana na yote uliyoamuru. Sijazihalifu amri zako wala kusahau hata mojawapo.
Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1
Psalms 41:1Heri mtu yule anayemjali mnyonge, 2 Bwana atamwokoa wakati wa shida. 1
Proverbs 11:24Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, 2 mwingine huzuia, lakini huwa maskini. 1