Proverbs 11:24
Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, 2 mwingine huzuia, lakini huwa maskini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Shauku ya mwenye haki huishia tu kwenye mema, 2 bali tumaini la mwovu huishia tu kwenye ghadhabu. 1
25Mtu mkarimu atastawi; 2 yeye awaburudishaye wengine 2 ataburudishwa mwenyewe. 1
Cross References
Deuteronomy 15:10Mpe kwa ukarimu na ufanye hivyo bila kinyongo moyoni, ndipo kwa sababu ya hili Bwana Mungu wenu atakubariki katika kazi zako zote na kwa kila kitu utakachokiwekea mkono wako.
Psalms 112:9Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; 2 haki yake hudumu milele; 2 pembe yake itatukuzwa kwa heshima. 1
Proverbs 19:17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, 2 naye atamtuza kwa aliyotenda. 1
Ecclesiastes 11:1Tupa mkate wako juu ya maji, 2 kwa maana baada ya siku nyingi 2 utaupata tena. 1
Haggai 1:6Mmepanda vingi, lakini mmevuna haba. Mnakula lakini hamshibi, mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hamsikii joto. Mnapata mishahara, lakini inatoweka kama imewekwa kwenye mfuko uliotobokatoboka.”
Haggai 2:16Wakati mtu alipoendea lundo la nafaka la vipimo ishirini, kulikuwa na vipimo kumi tu. Wakati mtu alipoendea pipa la mvinyo ili kuchota vipimo hamsini, kulikuwa na vipimo ishirini tu.