Kumbukumbu 27:18
“Alaaniwe mtu ampotoshaye kipofu njiani.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Cursed be he that maketh the blind to wander out of the way. And all the people shall say, Amen.
In Context
17“Alaaniwe mtu asogezaye jiwe la mpaka wa jirani yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
19“Alaaniwe mtu apotoshaye haki ya mgeni, yatima au mjane.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Cross References
Leviticus 19:14“ ‘Usimlaani kiziwi, wala usiweke kikwazo mbele ya kipofu, lakini umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
Proverbs 28:10Yeye ambaye humwongoza mwenye haki kwenye mapito mabaya, 2 ataanguka kwenye mtego wake mwenyewe, 2 bali wasio na lawama watapokea urithi mwema. 1
Matthew 15:14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”