Kumbukumbu 27:19
“Alaaniwe mtu apotoshaye haki ya mgeni, yatima au mjane.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18“Alaaniwe mtu ampotoshaye kipofu njiani.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Cross References
Exodus 22:21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.
Exodus 23:8“Usipokee rushwa, kwa kuwa rushwa hupofusha wale waonao, na kupinda maneno ya wenye haki.
Deuteronomy 24:17Usipotoshe hukumu ya mgeni au yatima, au kuchukua vazi la mjane kama rehani.
Proverbs 17:23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri 2 ili kupotosha njia ya haki. 1
Micah 3:9Sikieni hili, enyi viongozi wa nyumba ya Yakobo, 2 enyi watawala wa nyumba ya Israeli, 1 mnaodharau haki 2 na kupotosha kila lililo sawa; 1