Kumbukumbu 27:17
“Alaaniwe mtu asogezaye jiwe la mpaka wa jirani yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Cursed be he that removeth his neighbour’s landmark. And all the people shall say, Amen.
In Context
16“Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
18“Alaaniwe mtu ampotoshaye kipofu njiani.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Cross References
Deuteronomy 19:14Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi Bwana Mungu wako anayowapa kuimiliki. 1 Mashahidi
Proverbs 22:28Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani 2 lililowekwa na baba zako. 1
Hosea 5:10Viongozi wa Yuda ni kama wale 2 wanaosogeza mawe ya mpaka. 1 Nitamwaga ghadhabu yangu juu yao 2 kama mafuriko ya maji. 1