Kumbukumbu 27:25
“Alaaniwe mtu apokeaye rushwa ili kumuua mtu asiye na hatia.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Cursed be he that taketh reward to slay an innocent person. And all the people shall say, Amen.
In Context
24“Alaaniwe mtu amuuaye jirani yake kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Cross References
Exodus 23:7Ujiepushe na mashtaka ya uongo, wala usimuue mtu asiye na hatia au mtu mwaminifu, kwa maana sitamhesabia hana hatia yeye aliye na hatia.
Deuteronomy 16:19Msipotoshe haki wala msifanye upendeleo. Msikubali rushwa kwa sababu rushwa hupofusha macho ya wenye busara na kugeuza maneno ya wenye haki.
Proverbs 1:11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1
Micah 3:10mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu 2 na Yerusalemu kwa uovu. 1
Matthew 26:15na kuuliza, “Mtanipa nini nikimtia Yesu mikononi mwenu?” Wakamlipa vipande thelathini vya fedha.
Acts 1:18(Basi Yuda alinunua shamba kwa zile fedha za uovu alizopata; akiwa huko shambani akaanguka, akapasuka na matumbo yote yakatoka nje.