The Bible Software
bible.softwareMikaMika 3 › Mika 3:10

Mika 3:10

mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu 2 na Yerusalemu kwa uovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They build up Zion with blood, and Jerusalem with iniquity.

In Context

9Sikieni hili, enyi viongozi wa nyumba ya Yakobo, 2 enyi watawala wa nyumba ya Israeli, 1 mnaodharau haki 2 na kupotosha kila lililo sawa; 1

11Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa, 2 na makuhani wake wanafundisha kwa malipo, 2 nao manabii wake wanatabiri kwa fedha. 1 Hata hivyo wanamwegemea Bwana na kusema, 2 “Je, Bwana si yumo miongoni mwetu? 2 Hakuna maafa yatakayotupata.” 1

Read all of Mika 3

Cross References

Jeremiah 22:13“Ole wake yeye ajengaye jumba lake la kifalme kwa njia ya dhuluma, 2 vyumba vyake vya juu kwa udhalimu, 1 akiwatumikisha watu wa nchi yake pasipo malipo, 2 bila kuwalipa kwa utumishi wao. 1

Ezekiel 22:25Kuna hila mbaya ya wakuu ndani yake kama simba angurumaye akirarua mawindo yake, wanakula watu, wanachukua hazina na vitu vya thamani na kuongeza idadi ya wajane ndani yake.

Zephaniah 3:3Maafisa wake ni simba wangurumao, 2 watawala wake ni mbwa mwitu wa jioni, 1 ambao hawabakizi chochote 2 kwa ajili ya asubuhi. 1

John 11:50Hamjui kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote liangamie?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mika 3:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mika 3:9Mika 3Mika 3:11 →