Kumbukumbu 28:2
Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani.
Cross References
Deuteronomy 28:15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:
Psalms 128:4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa 2 mtu amchaye Bwana. 1
1 Timothy 4:8Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini utauwa una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao.