The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 28 › Kumbukumbu 28:3

Kumbukumbu 28:3

Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Blessed shalt thou be in the city, and blessed shalt thou be in the field.

In Context

2Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako:

4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.

Read all of Kumbukumbu 28

Cross References

Genesis 39:5Kuanzia wakati huo Potifa alipomweka Yosefu kuwa msimamizi wa nyumba na mali zake zote alizokuwa nazo, Bwana aliibariki nyumba ya Mmisri huyo kwa sababu ya Yosefu. Baraka ya Bwana ilikuwa juu ya kila kitu alichokuwa nacho Potifa, nyumbani na shambani.

Psalms 112:1Msifuni Bwana. 1 Heri mtu yule amchaye Bwana, 2 mtu yule apendezwaye sana na amri zake. 1

Psalms 144:12Kisha wana wetu wakati wa ujana wao 2 watakuwa kama mimea iliyotunzwa vizuri, 1 binti zetu watakuwa kama nguzo zilizoviringwa 2 kurembesha jumba la kifalme. 1

Amos 9:13“Siku zinakuja,” asema Bwana, 1 “wakati mvunaji atatanguliwa na mkulima, 2 naye mpanzi atatanguliwa na yeye akamuaye zabibu. 1 Divai mpya itadondoka kutoka milimani, 2 na kutiririka kutoka vilima vyote. 1

Zechariah 8:3Hili ndilo asemalo Bwana: “Nitarudi Sayuni na kufanya makao Yerusalemu. Kisha Yerusalemu utaitwa mji wa kweli, mlima wa Bwana Mwenye Nguvu Zote utaitwa Mlima Mtakatifu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 28:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 28:2Kumbukumbu 28Kumbukumbu 28:4 →