Kumbukumbu 28:20
Bwana ataleta laana juu yako, fadhaa na kukaripiwa katika kila kitu unachokigusa kwa mkono wako, mpaka uwe umeharibiwa na kuangamizwa ghafula kwa ajili ya maovu uliyoyafanya kwa kumwacha yeye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Utalaaniwa uingiapo na utokapo.
21Bwana atakupiga kwa magonjwa mpaka akuangamize kutoka nchi unayoingia kuimiliki.
Cross References
Leviticus 26:31Nitaifanya miji yenu kuwa magofu, na kuharibu mahali patakatifu penu pa kuabudia, nami sitapendezwa na harufu nzuri ya sadaka zenu.
Deuteronomy 4:26ninaziita mbingu na nchi kama mashahidi dhidi yenu siku hii kwamba mtaangamia mara moja kutoka nchi ile ambayo mnavuka Yordani kuimiliki. Hamtaishi kule kwa muda mrefu bali kwa hakika mtaangamizwa.
Judges 2:15Popote Israeli walipotoka kwenda kupigana, mkono wa Bwana ulikuwa kinyume nao ili kuwashinda, kama vile alivyokuwa amewaapia. Nao wakawa katika taabu kubwa.
Job 24:18“Lakini wao ni povu juu ya maji; 2 sehemu yao juu ya nchi imelaaniwa, 1 hivyo hakuna hata mmoja 2 aendaye kwenye shamba la mizabibu. 1
Psalms 80:4Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, 2 hata lini hasira yako itawaka na kufoka moshi 2 dhidi ya maombi ya watu wako? 1
Isaiah 30:17Watu 1,000 watakimbia 2 kwa ajili ya kitisho cha mtu mmoja, 1 kwa vitishio vya watu watano 2 wote mtakimbia, 1 hadi mtakapoachwa kama mlingoti wa bendera 2 juu ya kilele cha mlima, 2 kama bendera juu ya kilima.” 1