The Bible Software
bible.softwareDeuteronomyDeuteronomy 28 › Deuteronomy 28:21

Deuteronomy 28:21

Bwana atakupiga kwa magonjwa mpaka akuangamize kutoka nchi unayoingia kuimiliki.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD shall make the pestilence cleave unto thee, until he have consumed thee from off the land, whither thou goest to possess it.

In Context

20Bwana ataleta laana juu yako, fadhaa na kukaripiwa katika kila kitu unachokigusa kwa mkono wako, mpaka uwe umeharibiwa na kuangamizwa ghafula kwa ajili ya maovu uliyoyafanya kwa kumwacha yeye.

22Bwana atakupiga kwa magonjwa ya kudhoofisha, kwa homa na kuwashwa, hari na kwa ukame, kutu na kuwa na uchungu ambavyo vitakupiga mpaka uangamie.

Read all of Deuteronomy 28

Cross References

Exodus 5:3Ndipo Mose na Aroni wakasema, “Mungu wa Waebrania amekutana nasi. Sasa turuhusu tuwe na safari ya siku tatu ya jangwani ili tukamtolee Bwana Mungu wetu dhabihu, la sivyo aweza kutupiga sisi kwa tauni au kwa upanga.”

Numbers 14:12Nitawapiga kwa tauni na kuwaangamiza, lakini nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa lenye nguvu kuliko wao.”

Numbers 25:9Lakini wale waliokufa kwa hiyo tauni walikuwa watu 24,000.

Jeremiah 15:2Nao kama wakikuuliza, ‘Twende wapi?’ Waambie, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Wale waliowekwa kwa ajili ya kufa, wakafe; 2 waliowekwa kwa ajili ya upanga, kwa upanga; 1 waliowekwa kwa ajili ya njaa, kwa njaa: 2 waliowekwa kwa ajili ya kutekwa, watekwe.’ ”

Jeremiah 21:6Nitawaangamiza waishio katika mji huu, watu na wanyama, nao watauawa kwa tauni ya kutisha.

Amos 4:10“Niliwapelekea tauni miongoni mwenu 2 kama nilivyofanya kule Misri. 1 Niliwaua vijana wenu wa kiume kwa upanga, 2 niliwachukua farasi wenu. 1 Nilijaza pua zenu kwa uvundo kutoka kwenye kambi zenu, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Deuteronomy 28:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Deuteronomy 28:20Deuteronomy 28Deuteronomy 28:22 →