The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 28 › Kumbukumbu 28:32

Kumbukumbu 28:32

Wanao na binti zako watatolewa kwa mataifa mengine, nawe utayachosha macho yako ukiwatazamia siku baada ya siku, hutakuwa na nguvu kuinua mkono.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thy sons and thy daughters shall be given unto another people, and thine eyes shall look, and fail with longing for them all the day long: and there shall be no might in thine hand.

In Context

31Ngʼombe wako atachinjwa mbele ya macho yako lakini hutakula nyama yake. Punda wako atachukuliwa kwa nguvu kutoka kwako wala hatarudishwa. Kondoo wako watapewa adui zako, wala hakuna mtu yeyote wa kuwaokoa.

33Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na chochote, bali kuonewa kikatili siku zako zote.

Read all of Kumbukumbu 28

Cross References

Numbers 21:29Ole wako, ee Moabu! 2 Umeharibiwa, enyi watu wa Kemoshi! 1 Amewatoa wanawe kuwa wakimbizi, 2 na binti zake kama mateka 2 kwa Mfalme Sihoni wa Waamori. 1

Deuteronomy 28:41Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.

2 Chronicles 29:9Hii ndiyo sababu baba zetu wameanguka kwa upanga na ndiyo sababu wana wetu na binti zetu, pia wake zetu wamekuwa mateka.

Job 11:20Bali macho ya waovu hayataona, 2 wokovu utawaepuka; 1 tarajio lao litakuwa ni hangaiko 2 la mtu anayekata roho.”

Job 31:8basi wengine na wale nilichokipanda, 2 nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 1

Psalms 119:82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako; 2 ninasema, “Utanifajiri lini?” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 28:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 28:31Kumbukumbu 28Kumbukumbu 28:33 →