Kumbukumbu 28:41
Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
42Makundi ya nzige yatavamia miti yako yote na mazao ya nchi yako.
Cross References
Deuteronomy 28:32Wanao na binti zako watatolewa kwa mataifa mengine, nawe utayachosha macho yako ukiwatazamia siku baada ya siku, hutakuwa na nguvu kuinua mkono.
Isaiah 65:23Hawatajitaabisha kwa kazi bure, 2 wala hawatazaa watoto ili wapatwe na majanga, 1 kwa kuwa watakuwa taifa lililobarikiwa na Bwana, 2 wao na wazao wao pamoja nao. 1
Daniel 1:3Kisha mfalme akamwagiza Ashpenazi, mkuu wa maafisa wa mfalme, kumletea baadhi ya Waisraeli kutoka jamaa ya mfalme na kutoka jamaa kuu,