The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 31 › Ayubu 31:8

Ayubu 31:8

basi wengine na wale nilichokipanda, 2 nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then let me sow, and let another eat; yea, let my offspring be rooted out.

In Context

7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, 2 kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, 2 au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 1

9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, 2 au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 1

Read all of Ayubu 31

Cross References

Deuteronomy 28:30Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.

Deuteronomy 28:38Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.

Joshua 22:22“Yeye Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana! Yeye Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana! Yeye anajua! Israeli na wajue! Kama huu umekuwa ni uasi au kukosa utii kwa Bwana, msituache hai siku hii ya leo.

Job 5:4Watoto wake wako mbali na usalama, 2 hushindwa mahakamani bila mtetezi. 1

Job 18:19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, 2 wala aliyenusurika mahali alipoishi. 1

Job 24:6Hukusanya chakula mashambani na kuokota masazo 2 katika mashamba ya mizabibu ya waovu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 31:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 31:7Ayubu 31Ayubu 31:9 →