Kumbukumbu 28:40
Utakuwa na mizeituni katika nchi yako yote, lakini hutatumia hayo mafuta yake, kwa sababu zeituni zitapukutika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Utakuwa na wana na binti lakini hawatakuwa nawe, kwa sababu watachukuliwa mateka.
Cross References
Psalms 104:15divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, 2 mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake, 2 na mkate wa kutia mwili nguvu. 1