Deuteronomy 28:39
Utapanda mashamba ya mizabibu na kuyapalilia, lakini hutakunywa divai yake wala hutakusanya zabibu, kwa sababu wadudu watazila.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Utapanda mbegu nyingi katika shamba lakini utavuna haba, kwa sababu nzige watazila.
Cross References
Job 15:33Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, 2 kama mzeituni unaodondosha maua yake. 1
Isaiah 17:10Mmemsahau Mungu Mwokozi wenu, 2 hamkumkumbuka Mwamba aliye ngome yenu. 1 Kwa hiyo, hata ingawa mlipandikiza mimea iliyo mizuri sana 2 na kuotesha mizabibu ya kigeni, 1
Joel 2:2siku ya giza na huzuni, 2 siku ya mawingu na utusitusi. 1 Kama mapambazuko yasambaavyo 2 toka upande huu wa milima 2 hata upande mwingine 2 jeshi kubwa na lenye nguvu linakuja. 1 Jambo kama hili halijakuwepo tangu zamani 2 wala halitakuwepo tena kamwe 2 kwa vizazi vijavyo. 1
Habakkuk 3:17Ingawa mtini hauchanui maua 2 na hakuna zabibu juu ya mizabibu, 1 ingawaje mzeituni hauzai, 2 na hata mashamba hayatoi chakula, 1 iwapo hakuna kondoo katika banda, 2 wala ngʼombe katika zizi, 1