Isaiah 65:14
Watumishi wangu wataimba 2 kwa furaha ya mioyo yao, 1 lakini ninyi mtalia 2 kutokana na uchungu wa moyoni, 1 na kupiga yowe kwa sababu 2 ya uchungu wa roho zenu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 66:4Dunia yote yakusujudia, 2 wanakuimbia wewe sifa, 2 wanaliimbia sifa jina lako.” 1
Isaiah 24:14Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, 2 kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa Bwana. 1
Isaiah 52:8Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao, 2 pamoja wanapaza sauti zao kwa furaha. 1 Wakati Bwana atakaporejea Sayuni, 2 wataliona kwa macho yao wenyewe. 1
Jeremiah 31:7Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Mwimbieni Yakobo kwa furaha, 2 mpigieni kelele aliye mkuu wa mataifa. 1 Zifanyeni sifa zenu zisikike, nanyi mseme, 2 ‘Ee Bwana, okoa watu wako, 2 mabaki ya Israeli.’ 1
Matthew 13:42Nao watawatupa katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Luke 13:28“Ndipo kutakuwako kilio na kusaga meno, mtakapowaona Abrahamu, Isaki, Yakobo na manabii wote wakiwa katika Ufalme wa Mungu, lakini ninyi mkiwa mmetupwa nje.