Kumbukumbu 28:53
Utakula uzao wa tumbo lako, nyama ya wana wako na binti zako ambao Bwana Mungu wako amekupa, kwa sababu ya mateso yale adui zako watakayokuletea wakati wa kukuzingira.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:18Uzao wa tumbo lako utalaaniwa, mazao ya ardhi yako, ndama wa makundi yako ya ngʼombe na wana-kondoo wa makundi yako.
Deuteronomy 28:57kondoo wa nyuma kutoka kwenye tumbo lake na watoto anaowazaa. Kwa kuwa anakusudia kuwala kwa siri wakati wa kuzingirwa na katika taabu zile ambazo adui yako atazileta juu yako na miji yako.
2 Kings 6:29Basi tukampika mwanangu na kumla. Siku iliyofuata nikamwambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla.’ Lakini akawa amemficha.”
Lamentations 2:20“Tazama, Ee Bwana, ufikirie: 2 Ni nani ambaye umepata 2 kumtendea namna hii? 1 Je, wanawake wakule wazao wao, 2 watoto waliowalea? 1 Je, kuhani na nabii auawe 2 mahali patakatifu pa Bwana? 1
Ezekiel 5:10Kwa hiyo katikati yenu baba watakula watoto wao na watoto watakula baba zao. Nitawapiga kwa adhabu, nami nitawatawanya watu wenu walionusurika pande zote za dunia.