Maombolezo 2:20
“Tazama, Ee Bwana, ufikirie: 2 Ni nani ambaye umepata 2 kumtendea namna hii? 1 Je, wanawake wakule wazao wao, 2 watoto waliowalea? 1 Je, kuhani na nabii auawe 2 mahali patakatifu pa Bwana? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:11Lakini Mose akamsihi Bwana Mungu wake, akasema, “Ee Bwana, kwa nini hasira yako iwake dhidi ya watu wako, wale uliowatoa Misri kwa uweza mkuu na mkono wenye nguvu?
Deuteronomy 9:26Nilimwomba Bwana na kusema, “Ee Bwana Mwenyezi, usiangamize watu wako, urithi wako mwenyewe ule ulioukomboa kwa uweza wako mkuu na kuwatoa katika nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu.
2 Kings 6:28Kisha akamuuliza, “Kwani kuna nini?” Yule mwanamke akamjibu, “Huyu mwanamke aliniambia, ‘Mtoe mwanao ili tupate kumla leo, na kesho tutamla mwanangu.’
Psalms 78:64makuhani wao waliuawa kwa upanga, 2 wala wajane wao hawakuweza kulia. 1
Isaiah 63:16Lakini wewe ni Baba yetu, 2 ingawa Abrahamu hatufahamu sisi 2 wala Israeli hatutambui; 1 wewe, Ee Bwana, ndiwe Baba yetu, 2 Mkombozi wetu tangu zamani za kale ndilo jina lako. 1
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?