Kumbukumbu 28:52
Nao wataizingira miji yote katika nchi yako mpaka kuta ndefu za ngome ambazo unazitegemea zimeanguka. Watazingira miji yote katika nchi ambayo Bwana Mungu wako anakupa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:25Nitawaletea upanga juu yenu ili kuwapatiliza kwa kuvunja Agano langu. Mtakapokimbilia mijini mwenu, nitatuma tauni katikati yenu, nanyi mtatiwa mikononi mwa adui zenu.
2 Kings 18:13Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.
2 Kings 25:1Hivyo katika mwaka wa tisa wa utawala wa Sedekia, katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi, Nebukadneza mfalme wa Babeli, akiwa na jeshi lake lote, alifanya vita dhidi ya Yerusalemu. Akapiga kambi nje ya mji na kuuzunguka mji pande zote.
Isaiah 1:7Nchi yenu imekuwa ukiwa, 2 miji yenu imeteketezwa kwa moto; 1 nchi yenu imeachwa tupu na wageni 2 mbele ya macho yenu, 2 imeharibiwa kama vile imepinduliwa na wageni. 1
Jeremiah 10:18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 2 “Wakati huu, nitawatupa nje kwa nguvu 2 wote waishio katika nchi hii; 1 nitawataabisha 2 ili waweze kutekwa.” 1
Jeremiah 37:8Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’