The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 29 › Kumbukumbu 29:18

Kumbukumbu 29:18

Hakikisheni kwamba hakuna mwanaume au mwanamke, ukoo au kabila miongoni mwenu leo ambalo moyo wake utamwacha Bwana Mungu wetu, kwenda kuabudu miungu ya mataifa hayo. Hakikisheni hakuna mzizi miongoni mwenu unaotoa sumu chungu ya namna hii.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Lest there should be among you man, or woman, or family, or tribe, whose heart turneth away this day from the LORD our God, to go and serve the gods of these nations; lest there should be among you a root that beareth gall and wormwood;

In Context

17Mliona miongoni mwao vinyago vyao vya kuchukiza na sanamu za miti na mawe, za fedha na dhahabu.

19Wakati mtu wa namna hii asikiapo maneno ya kiapo hiki, hujibariki mwenyewe na kisha hufikiri, “Nitakuwa salama, hata kama nikiendelea kuifuata njia yangu mwenyewe.” Hili litaleta maafa juu ya nchi iliyonyeshewa sawasawa na nchi kame.

Read all of Kumbukumbu 29

Cross References

Deuteronomy 13:1Kama nabii, au yule anayetabiri kwa njia ya ndoto, akijitokeza miongoni mwenu na akawatangazia ishara ya miujiza na ajabu,

Psalms 10:13Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu? 2 Kwa nini anajiambia mwenyewe, 2 “Hataniita nitoe hesabu?” 1

Jeremiah 23:17Huendelea kuwaambia wale wanaonidharau mimi, 2 ‘ Bwana asema: Mtakuwa na amani.’ 1 Kwa wale wote wafuatao ugumu wa mioyo yao, 2 wao husema, ‘Hakuna dhara litakalowapata.’ 1

Amos 6:12Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali? 2 Je, aweza mtu kulima huko kwa maksai? 1 Lakini mmegeuza haki kuwa sumu 2 na matunda ya uadilifu kuwa uchungu: 1

Hebrews 3:12Ndugu zangu, angalieni, asiwepo miongoni mwenu mtu mwenye moyo mwovu usioamini, unaojitenga na Mungu aliye hai.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 29:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 29:17Kumbukumbu 29Kumbukumbu 29:19 →