Hebrews 3:12
Ndugu zangu, angalieni, asiwepo miongoni mwenu mtu mwenye moyo mwovu usioamini, unaojitenga na Mungu aliye hai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, 2 ‘Kamwe hawataingia rahani mwangu.’ ”
Cross References
Job 21:14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ 2 Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 1
Psalms 18:21Kwa maana nimezishika njia za Bwana; 2 sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 1
Isaiah 59:13Uasi na udanganyifu dhidi ya Bwana, 2 kumgeuzia Mungu wetu kisogo, 1 tukichochea udhalimu na maasi, 2 tukinena uongo ambao mioyo yetu imeuhifadhi. 1
Jeremiah 3:17Wakati huo, wataita Yerusalemu kuwa Kiti cha Enzi cha Bwana, nayo mataifa yote watakusanyika Yerusalemu kuliheshimu jina la Bwana. Hawatafuata tena ukaidi wa mioyo yao miovu.
Jeremiah 11:8Lakini hawakusikiliza wala kujali. Badala yake, walifuata ukaidi wa mioyo yao miovu. Hivyo nikaleta juu yao laana zote za agano nililokuwa nimewaamuru wao kulifuata, lakini wao hawakulishika.’ ”
Jeremiah 17:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu, 2 ategemeaye mwenye mwili 2 kwa ajili ya nguvu zake, 1 ambaye moyo wake 2 umemwacha Bwana. 1