Kumbukumbu 29:3
Kwa macho yenu wenyewe mliona yale majaribu makubwa, ishara zile za miujiza na maajabu makubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The great temptations which thine eyes have seen, the signs, and those great miracles:
In Context
4Lakini mpaka leo Bwana hajawapa akili ya kuelewa au macho yanayoona au masikio yanayosikia.
Cross References
Deuteronomy 7:18Lakini msiwaogope. Kumbukeni vyema jinsi Bwana Mungu wenu alivyofanya kwa Farao na kwa wote huko Misri.
Nehemiah 9:9“Uliona mateso ya baba zetu huko Misri, ukasikia kilio chao huko Bahari ya Shamu.
Jeremiah 5:21Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, 2 mlio na macho lakini hamwoni, 2 mlio na masikio lakini hamsikii: 1