The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 5 › Jeremiah 5:21

Jeremiah 5:21

Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, 2 mlio na macho lakini hamwoni, 2 mlio na masikio lakini hamsikii: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear now this, O foolish people, and without understanding; which have eyes, and see not; which have ears, and hear not:

In Context

20“Itangazie nyumba ya Yakobo hili 2 na ulipigie mbiu katika Yuda: 1

22Je, haiwapasi kuniogopa mimi?” asema Bwana. 2 “Je, haiwapasi kutetemeka mbele zangu? 1 Niliufanya mchanga kuwa mpaka wa bahari, 2 kizuizi cha milele ambacho haiwezi kupita. 1 Mawimbi yanaweza kuumuka, lakini hayawezi kuupita; 2 yanaweza kunguruma, lakini hayawezi kuuvuka. 1

Read all of Jeremiah 5

Cross References

Deuteronomy 29:3Kwa macho yenu wenyewe mliona yale majaribu makubwa, ishara zile za miujiza na maajabu makubwa.

Deuteronomy 32:6Je, hii ndiyo njia ya kumlipa Bwana, 2 enyi watu wajinga na wasio na busara? 1 Je, yeye siye Baba yenu, Muumba wenu, 2 aliyewafanya ninyi na kuwaumba? 1

Proverbs 17:16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, 2 wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 1

Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.

Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1

Jeremiah 7:13Mlipokuwa mnafanya yote haya, asema Bwana, nilisema nanyi tena na tena, lakini hamkusikiliza; niliwaita, lakini hamkujibu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 5:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 5:20Jeremiah 5Jeremiah 5:22 →