Kumbukumbu 29:9
Fuateni kwa bidii masharti ya Agano hili, ili kwamba mweze kustawi katika kila kitu mnachofanya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Keep therefore the words of this covenant, and do them, that ye may prosper in all that ye do.
In Context
8Tuliichukua nchi yao na kuwapa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kama urithi wao.
Cross References
Deuteronomy 5:3Si kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.
Deuteronomy 31:12Kusanya watu wote, wanaume, wanawake, watoto na wageni wanaoishi katika miji yenu, ili waweze kusikia na kujifunza kumcha Bwana Mungu wenu na kufuata kwa bidii maneno yote ya sheria hii.
Joshua 8:35Hakuna neno lolote katika yale yote ambayo Mose alikuwa ameamuru ambalo Yoshua hakulisomea kusanyiko lote la Israeli, ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto, na wageni walioishi miongoni mwao.
1 Kings 2:3shika lile Bwana Mungu wako analokuagiza: Enenda katika njia zake, ushike maagizo na amri zake, sheria zake na kanuni zake, kama ilivyoandikwa katika Sheria ya Mose, ili upate kustawi katika yote ufanyayo na popote uendako,
Psalms 25:10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu 2 kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake. 1
Isaiah 56:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Dumisheni haki 2 na mkatende lile lililo sawa, 1 kwa maana wokovu wangu u karibu 2 na haki yangu itafunuliwa upesi. 1