Isaya 56:1
Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Dumisheni haki 2 na mkatende lile lililo sawa, 1 kwa maana wokovu wangu u karibu 2 na haki yangu itafunuliwa upesi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 24:4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, 2 yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake 2 au kuapa kwa kitu cha uongo. 1
Psalms 85:9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, 2 ili utukufu wake udumu katika nchi yetu. 1
Isaiah 1:16jiosheni na mkajitakase. 1 Yaondoeni matendo yenu maovu 2 mbele zangu! 1 Acheni kutenda mabaya, 2
Isaiah 46:13Ninaleta haki yangu karibu, 2 haiko mbali; 2 wala wokovu wangu hautachelewa. 1 Nitawapa Sayuni wokovu, 2 Israeli utukufu wangu.
Isaiah 55:7Mtu mwovu na aiache njia yake, 2 na mtu mbaya na ayaache mawazo yake. 1 Yeye na amrudie Bwana, naye atamrehemu, 2 arudi kwa Mungu wetu, kwa kuwa atamsamehe bure kabisa. 1
Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1