Kumbukumbu 5:3
Si kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Bwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu.
4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Cross References
Genesis 17:21Lakini Agano langu nitalithibitisha kwa Isaki, ambaye Sara atakuzalia mwaka ujao majira kama haya.”
Deuteronomy 29:10Ninyi nyote leo mnasimama mbele za Bwana Mungu wenu; mkiwa viongozi na wakuu wenu, wazee na maafisa wenu, na wanaume wengine wote wa Israeli,
Psalms 105:8Hulikumbuka agano lake milele, 2 neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 1
Matthew 13:17Amin, nawaambia, manabii wengi na wenye haki walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia. 1 Maelezo Ya Mfano Wa Mbegu (Marko 4:13-20; Luka 8:11-15)
Hebrews 8:8Lakini Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: 1 “Siku zinakuja, asema Bwana, 2 nitakapofanya agano jipya 1 na nyumba ya Israeli 2 na nyumba ya Yuda. 1