The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 30 › Kumbukumbu 30:8

Kumbukumbu 30:8

Utamtii tena Bwana na kuzishika amri zake zote ninazokupa leo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thou shalt return and obey the voice of the LORD, and do all his commandments which I command thee this day.

In Context

7Bwana Mungu wako ataweka laana hizi zote juu ya adui zako ambao wanakuchukia na kukutesa.

9Ndipo Bwana Mungu wako atakapokufanikisha sana katika kazi zote za mikono yako na katika uzao wa tumbo lako, wadogo wa mifugo yako na mazao ya nchi yako. Bwana atakufurahia tena na kukufanikisha, kama alivyowafurahia baba zako,

Read all of Kumbukumbu 30

Cross References

Deuteronomy 30:2hapo wewe na watoto wako mtakapomrudia Bwana Mungu wako, na kumtii kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote kulingana na kila kitu ninachokuamuru leo,

Isaiah 1:25Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, 2 nitawasafisha takataka zenu zote 2 na kuwaondolea unajisi wenu wote. 1

Jeremiah 32:39Nitawapa moyo mmoja na kutenda pamoja, ili kwamba waniche daima kwa mema yao wenyewe na kwa mema ya watoto wao baada yao.

Ezekiel 36:27Nami nitaweka Roho yangu ndani yenu na kuwafanya ninyi mfuate amri zangu na kuwafanya kuwa waangalifu kuzishika sheria zangu.

Romans 11:26Hivyo Israeli wote wataokolewa. Kama ilivyoandikwa: 1 “Mkombozi atakuja kutoka Sayuni; 2 ataondoa kutokumcha Mungu katika Yakobo. 1

Philippians 2:13kwa maana Mungu ndiye atendaye kazi ndani yenu, kutaka kwenu na kutenda kwenu kwa kulitimiza kusudi lake jema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 30:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 30:7Kumbukumbu 30Kumbukumbu 30:9 →